Saturday, June 27, 2026
Home 2022 June

Monthly Archives: June 2022

MHE. KIGAHE AIAGIZA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) KUHAKIKISHA WANAJENGA MAGHALA...

0
Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameiagiza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kuhakikisha inajenga maghala ya...

RC MAKALLA: UHUSIANO WA DAR ES SALAAM NA HAMBURG WAFANIKISHA UZINDUZI KIWANDA CHA MBOJI.

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezindua Kiwanda Cha Kuchakata taka na kuzigeuza kuwa Mbolea halisi Cha Mabwepande kilichojengwa kwa...

MHE. SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI DODOMA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameongoza kikao cha Kutatua Mgogoro wa Ardhi Rutoro na Mwisa...

TAKWIMU SAHIHI ZA WENYE ULEMAVU KUSAIDIA UTUNGWAJI WA SERA

0
Serikali imesema upatikanaji wa takwimu sahihi za msingi za Watu Wenye Ulemavu zitawezesha kutungwa kwa sera wakilishi na kusaidia kupima utekelezaji wa malengo mbalimbali...

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AELEZA FURSA MBALIMBALI KTK VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt.Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Tanzania inahitaji wawekezaji katika eneo la uzalishaji wa mbolea ili kutosheleza mahitahiji nakupunguza...

SIMBACHAWENE: VIJANA JIKINGENI NA MAAMBUKIZI YA VVU

0
Serikali imetoa rai kwa vijana nchini kufanya juhudi za kujikinga na maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI (VVU) pamoja na walio shuleni kuhakikisha wanazingatia...

MKOA LINDI WAMPONGEZA RAIS SAMIA, WAMSHUKURU KWA BILIONI 141 ZA MIRADI YA MAENDELEO...

0
Na OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha mwaka mmoja...

ZAMBIA YASHANGAZWA MFUMO USIMAMIZI SEKTA YA MADINI

0
Ujumbe kutoka Serikali ya Zambia ukiongozwa na Waziri wa Madini na Maendeleo ya Migodi Paul Kabuswe umeshangazwa na mfumo wa usimamizi uliopo kwenye sekta...

CDF. VENANCE MABEYO AMUAGA RAIS SAMIA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance...