WIZARA YA MADINI KUUTANGAZA MGODI WA NYAKAVANGALA KUVUTIA WAWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)...
UZINDUZI: ROYAL TOUR, MWANZA
Maandamano ya Amani kuelekea viwanja vya Rockcity Mall kwa lengo la uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour katika jiji la Mwanza.
MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA OPERATION YA ANUANI NA MAKAZI
Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi kutoka kwa Waziri wa...
DKT. PINDI CHANA AONYA WANAOVUNJA SHERIA ZA UHIFADHI
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amesema wapo watu wachache wanaovunja sheria za uhifadhi kwa makusudi na wengine kwa kutokujua sheria,...
WALIOKUWA WAKIISHI NDANI YA HIFADHI YA NGORONGORO WAISHUKURU SERIKALI KUKABIDHIWA NYUMBA MPYA
Kiongozi wa Kimila wa kabila la Wamasai waliokuwa wakiishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, Laigwanani Tauwo ametoa shukrani kwa serikali baada ya serikali kuanza...
EFM WAJIBU MASWALI AMBAYO YANAULIZWA MTANDAONI KUHUSU DINA MARRIOS NA OSCAR OSCAR
Meneja wa vipindi EFM Dickson Ponela ametambulisha kipindi kipya cha JIONI YA LEO kitakacho kutanisha watangazaji wa vipindi mbalimbali kwenye kituo hiko akiwa na...









