MAKAMU WA RAIS OTHMAN AZINDUA TAMASHA LA ZIFF2022
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itatengeneza na kusimamia Sera ya Filamu...
RC MAKALLA: WAKANDARASI WA TAKA, MAWAKALA NA WATUMISHI 19 JIJI LA DSM WATAKIWA KUREJESHA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa muda wa siku 60 kwa Wakandarasi wa taka, Wakala wa ukusanyaji mapato na...
MAAFISA UGANI MANISPAA YA KIGAMBONI WAJENGEWA UWEZO UTEKELEZAJI KIPINDI CHA II MPANGO WA TASAF
TASAF wameanza mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea maafisa Ugani kuhusu uendeshaji wa Warsha za jamii,ufanisi wa malipo,masharti ya elimu/afya na majukumu ya kamati...
SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA, ELIMU NA AFYA – MSOMERA HANDENI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali imetenga na kupeleka shilingi miliomi 503.4...
OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Watumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu waaswa kuendelea kufuata maadili ya utumishi wa Umma kwa kufanya kazi vizuri na kuwa...








