NAPE ASISITIZA ULINZI WA MTOTO DHIDI YA MATUMIZI YA TEHAMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa rai kwa jamii ya kitanzania kumlinda mtoto dhidi ya matumizi ya intanenti...
HAKIELIMU YATOA MAPENDEKEZO KATIKA BAJETI YA SERIKALI KWENYE SEKTA YA ELIMU
Taasisi ya hakielimu imesema ni wakati sahihi kama taifa kutumia lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia inaweza kuandaa watoto kutumia kiswahili.
Hayo yamezungumzwa na...
TRC HAINA MGOGORO WA KIMALIPO NA KAMPUNI YA EUROWAGON DAR ES SALAAM
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeendela kusisitiza kwamba halina mgogoro wa kimalipo na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki ambayo ilipewa zabuni ya kutengeneza...
CHONGOLO AWAONYA MAKATIBU UWT KUJIHUSISHA NA MAKUNDI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo ametoa onyo kwa makatibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kujihusisha na makundi ya...








