SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WAAJIRIWA KADA YA UALIMU NA AFYA
SERIKALI imetangaza kuajiri watumishi wa afya na walimu 16,676 kati ya nafasi za watumishi 17,412 wakiotakiwa huku nafasi 736 zilizokosa waombaji wenye sifa zikitarajiwa...
RUKWA WAIPONGEZA WIZARA YA MAJI
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Joseph Mkirikiti amesema anaridhishwa na jitihada za makusudi zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Maji katika kuwafikishia huduma ya...





