BASHUNGWA AAGIZA MAAFISA ELIMU KUBORESHA MIUNDOMBINU NA MAZINGIRA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Maafisa Elimu wote nchi nzima kuendelea kuijengea...
NAIBU WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA KAMPUNI YA NOBLE HELIUM INAYOTAFITI GESI
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Meneja wa Kampuni ya Noble Helium Joseph Uisso inayofanya utafiti wa gesi ya...
RC MAKALLA ATOA MAELEKEZO MATANO KWA WENYEVITI NA WATENDAJI MITAA NA KATA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao kazi Cha maelekezo na Viongozi wa ngazi ya Wilaya, Kata na...
CHAMA CHA WAHASIBU KUWAJENGEA UWEZO MACHINGA
Mapema leo Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum wameingia makubaliano ya kuwawezesha wafanya...
SERIKALI KUHAKIKISHA HUDUMA ZA VIPIMO VYA SIKOSELI ZINAPATIKANA KATIKA VITUO VYA AFYA NCHINI
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katika mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ili kuweza kupambana nao na kuhakikisha huduma...








