OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUKAMILIKA 2023, DODOMA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bwa. Kaspar Mmuya amepongeza maendeleo ya ujenzi wa ofisi za msajili wa...
VIJANA WAMETAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUHAMASISHA ZOEZI LA SENSA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Taifa Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kiongosi amewataka vijana kuhamasisha zoezi la sensa na kutoa elimu ili...
NEC WAPITISHA MAPENDEKEZO YA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo tarehe 23 Juni,2022 wamepitisha kwa kishindo mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote nchini.
Wajumbe hao...
NDALICHAKO: SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA SEKTA BINAFSI KATIKA UCHUMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na...
WAZIRI MKUU MAJALIWA KUFANYA ZIARA MAALUM MKOA WA ARUSHA NA TANGA LEO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2022 atafanya ziara ya siku moja katika mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu...








