MKOA LINDI WAMPONGEZA RAIS SAMIA, WAMSHUKURU KWA BILIONI 141 ZA MIRADI YA MAENDELEO...
Na OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha mwaka mmoja...
ZAMBIA YASHANGAZWA MFUMO USIMAMIZI SEKTA YA MADINI
Ujumbe kutoka Serikali ya Zambia ukiongozwa na Waziri wa Madini na Maendeleo ya Migodi Paul Kabuswe umeshangazwa na mfumo wa usimamizi uliopo kwenye sekta...
CDF. VENANCE MABEYO AMUAGA RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance...
RC MAKALLA ATOA WITO KUSHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amosi Makala ametoa wito kwa watanzania kutambua, kuthamini na kuendeleza urithi na Utamaduni waliorithi kutoka kwa wazazi...
JUMAA AWESO: MAJISAFI YANAPUNGUZA MAGONJWA
Tafiti zinaonesha kuwa upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama hupunguza zaidi ya asilimia hamsini ya magonjwa ya kuambukiza, hivyo kwa kutambua umuhimu huo...
BASHUNGWA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA LINDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia...
SONGWE: MRADI WA MAJI UNAKUJA
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amesema Serikali inatarajia kuwa na mradi mkubwa wa maji utakaohudumia miji mbalimbali katika Mkoa wa Songwe...
ZAIDI YA MILIONI 200 ZATUMIKA KUKARABATI HOSPITALI YA BOMBO
Na. WAF - TANGA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa zaidi ya Shilingi milioni 200 kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya Afya katika Hospitali...
LG SMART HOME WAJA KIVINGINE , SHUHUDIA MAAJABU YA BIDHAA ZAO ZA MAJUMBANI
Na Mwandishi Wetu
• Faida kuu za vifaa Vya Nyumbani vya LG ni pamoja na kutoa urahisi na uharaka wa kutumia vifaa kama TV na...




