Home Kitaifa MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA OPERATION YA ANUANI NA MAKAZI

MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA OPERATION YA ANUANI NA MAKAZI

Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!