TIRDO YAWAKARIBISHA WANANCHI KUJIFUNZA TEKNOLOJIA ZA VIWANDA NANENANE
SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limesema linaendelea kuwasaidia wakulima na wajasiriamali kuongeza thamani ya mazao, kupunguza gharama za uzalishaji na...
WAKAGUZI WA MAFUTA WAIMARISHA UDHIBITI WA UBORA WAKATI WA UPAKUAJI
Serikali, kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), inasimamia upakuaji wa shehena za mafuta kutoka melini hadi kwenye maghala ya kuhifadhia mafuta, ili...
WAMILIKI VITUO VYA KULEA WATOTO WAHIMIZWA KUWEKEZA KWA WALEZI WENYE TAALUMA
Na Mwandishi Wetu
WAMIKI wa vituo vya kulelea watoto nchini wamehimizwa kuwekeza katika mafunzo ya kitaalamu kwa walezi ili kuboresha ubora wa huduma za malezi...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUDHIBITI TAKA ZA PLASTIKI.
Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha kunakuwa na uwiano kati ya udhibiti wa taka za plastiki, ulinzi wa mazingira na ukuaji wa sekta...







