EWURA YATOA ELIMU KWA WATENDAJI, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA TABORA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Ndg. Shomari Mndolwa, akifungua semina ya kuwajengea uelewa kuhusu majukumu yanayotekelezwa na EWURA, Watendaji Kata, Mitaa na...
WANANCHI KILOMBERO WANUFAIKA NA HUDUMA YA UMEME NA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📍Kilombero, Morogoro
Wananchi wa Kata ya Katindiuka, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, wameendelea kunufaika na ziara ya utoaji elimu na uhamasishaji kuhusu miradi ya nishati...
UMOJA AFYA YA NHIF YAWAVUTIA WANANCHI
• Yapokelewa kwa shangwe Geita, wananchi waahidi kujiunga
Kifurushi cha Umoja Afya cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kimepokelewa kwa shangwe na...
WRRB, WAENDESHA GHALA WAKAA MEZANI KUELEKEA MSIMU WA KOROSHO 2026/27
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imefanya mazungumzo na Umoja wa Waendesha Ghala kujadili mazingira ya kiutendaji ya Mfumo wa Stakabadhi za...
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA PILI WA AFRIKA NA GCC PLUS KUHUSU AJIRA
Na Magrethy Katengu— Mzawa media Dar es Salaam
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa pili wa Afrika na nchi za Ghuba (GCC Plus),...
NHIF YAKUBALIANA NA AGA KHAN MATIBABU KWA WANACHAMA
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma...
TBS YATUMIA KARIAKOO FESTIVAL KUHAMASISHA VIWANGO, UBORA NA USALAMA WA BIDHAA
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuimarisha juhudi zake za kuwafikia wananchi kwa kutoa elimu kuhusu viwango, ubora na usalama wa bidhaa...
KIKOSI KAZI CHA TBS, WMA NA FCC CHAIBUA KASORO ZA BIDHAA NJOMBE , WAFANYA...
Na Mwandishi Wetu.
Kikosi kazi cha Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Wakala wa Vipimo (WMA) na Tume ya Ushindani (FCC), kimehitimisha zoezi la ukaguzi...
DIT YASHIRIKI MAONESHO YA WAHANDISI 2026, YAONESHA SULUHISHO ZA KIHANDISI KWA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam imekuwa kitovu cha ubunifu, teknolojia na maendeleo ya kihandisi nchini kupitia Maonesho ya 23 ya Wahandisi (23rd Annual Engineers’...













