PBPA YAWAWEZESHA MAMA LISHE KURASINI KUHAMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Dar es Salaam, Septemba 3, 2026
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), Mhandisi Bruno Tarimo, amewahimiza mama na baba lishe...
MAGEUZI YA ELIMU YAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU
Serikali imeweka mkazo katika kutafuta suluhisho la changamoto ya wanafunzi kuacha shule, hususan wavulana, baada ya kubainika kuwa ongezeko la utoro linaweza kuwa kikwazo...
UJENZI SPORTS CLUB YATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM DODOMA
Timu ya Ujenzi Sports Club imeendelea kuunga mkono juhudi za kuwawezesha wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi wa...
MKENDA: MAANDALIZI ELIMU YA LAZIMA MIAKA 10 YAANZA
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na kuimarisha...
AFISA UGAVI WMA AHAMASISHA UHAKIKI VIFAA VYA VIPIMO BAADA YA UNUNUZI
Na WMA - MWANZA
Wakala wa Vipimo (WMA) umetoa wito kwa Maafisa wanaosimamia ununuzi na ugavi katika taasisi za umma na binafsi kuhakikisha vifaa vyote...
NGASONGWA: BIDHAA BANDIA ZINAHATARISHA UWEKEZAJI
Na Mwandishi Wetu
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, amewataka wadau wa sekta ya umma na binafsi kuongeza ushirikiano katika...
SERIKALI YAIMARISHA UHIMILIVU BEI ZA MAFUTA NCHINI
Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za mafuta nchini zinakuwa himilivu na zinalinda maslahi ya wananchi, ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi...
BEI ZA MAFUTA SEPTEMBA ZASHUKA NCHINI
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za bidhaa za mafuta kwa mwezi Septemba 2026. Bei ya...
PROF.NOMBO: MAFANIKIO YA ELIMU NI MATOKEO YA USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati akiongoza kikao cha tafakuri cha uongozi na watumishi wa Wizara ya...
ADEM YAWATAKA VIONGOZI WA ELIMU KUJENGA UJUZI WA KIDIJITALI
NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
WAKALA wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) umesisitiza matumizi sahihi ya Akili Bandia (AI) na elimu ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi...













