TBS YAFUNGUA MILANGO YA UBORA NA USALAMA WA BIDHAA KWA WAFANYABIASHARA KUPITIA VIWANGO KLINIKI...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kusogeza huduma na elimu kuhusu viwango, ubora na usalama wa bidhaa karibu na wananchi kupitia...
RASHAL YAHARAKISHA UJENZI WA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
-Mradi wa kilomita 22 walenga kukamilika Januari 2027, kuunganisha viwanda na kuimarisha mtandao wa CNG Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu
UJENZI wa bomba la gesi...
TAWCA YAPONGEZWA KWA KUWA NGUZO YA UCHUMI WA KIDIJITALI, UADILIFU
Serikali imekipongeza Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), kwa mchango wake katika tasnia ya uhasibu nchini lakini pia kwa kuimarika na kuwa taasisi muhimu...
DKT. GRACE KABAYO: WANAWAKE WATAMBULIWE KAMA VIONGOZI KATIKA KUJENGA AMANI
DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Shirika la Wanawake la Kiafrika (PAWO), Dkt. Grace Kabayo, ameitaka jamii kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maamuzi yanayohusu amani,...
USIMAMIZI IMARA WAPUNGUZA UDANGANYIFU MITIHANI YA TAIFA
Serikali imesema udanganyifu katika mitihani ya kitaifa umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kuimarishwa kwa usimamizi wa mitihani nchini.
Kauli hiyo imetolewa Septemba 7, 2026...
VYAMA VYA SIASA KUWA MABALOZI WA BIMA YA AFYA
Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kutumia majukwaa yao kuwahamasisha na kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote, kwa kuwa...
TCU YATANGAZA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA VYUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa,akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 8,2026 jijini Dodoma kuhusu kukamilika kwa...
NEMC YAELEZA NAFASI YAKE KATIKA KONGAMANO LA 5 LA KIMATAIFA LA UCHUMI WA BULUU
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu, limejipambanua katika sekta ya...
VIJANA WATAKIWA KUANDALIWA UONGOZI TANGU WAKIWA WADOGO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Shirika la African Leadership Initiatives for Impact (ALII), kwa kushirikiana na HakiElimu na kwa uwezeshaji wa Ubalozi wa Ireland...
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA NHIF KUELEKEA AFCON
Serikali imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kujipanga kikamilifu katika maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027,...













