Saturday, October 17, 2026
Home 2026 September

Monthly Archives: September 2026

JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA LAZINDULIWA DAR

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM JIJI la Dar es Salaam limezindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula litakalokuwa chombo cha kuunganisha wadau mbalimbali katika kuboresha...

SOMALIA YAIPONGEZA FCC KWA UTENDAJI BORA

0
Na.Mwandishi Wetu Tume ya Ushindani ya Somali  imefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania kwa lengo la kujifunza uzoefu na mbinu zinazotumiwa na Tume ya...

DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

0
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya...

WAZIRI MASAUNI AITAMBUA NEMC KAMA MLEZI WA GREEN SUMMIT

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amelitambua na kulipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi na...

DKT. MWIGULU AIPONGEZA TANESCO KUTUMIA WATAALAMU WA NDANI

0
▪︎ Asisitiza GRID IMARA Simiyu ikamilike kwa wakati WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewapongeza viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuhakikisha Kituo cha...

DKT. MWIGULU AWAFUNGULIA VIJANA FURSA ZA MADINI

0
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa rasilimali hizo na...

TBS YATAHADHARISHA MATUMIZI NA UUZAJI WA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA SUMU

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeonya wananchi kuhusu matumizi ya vipodozi visivyo salama, likisema bidhaa hizo zinaweza kusababisha madhara makubwa kiafya, ikiwemo...

CBE YAKAMILISHA TAFITI 129, YAANZA NYINGINE

0
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinaendelea kufanya tafiti zinazolenga kubaini na kutoa suluhisho kwa changamoto za biashara, uchumi na maendeleo nchini, huku tafiti...

CBE YAPANUA FURSA ZA ELIMU YA JUU

0
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimepanua fursa za elimu ya juu kwa kutoa programu zinazolenga kuwaandaa wataalamu wenye ujuzi katika biashara, teknolojia na...

KIWANDA KIKUBWA CHA KUCHAKATA MCHANGA MZITO WA BAHARINI(HMS) BARANI AFRIKA KUJENGWA PANGANI,TANGA

0
Kampuni ya Shenghe Resources ya China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini madini ya mchanga mzito wa baharini (𝙃𝙚𝙖𝙫𝙮 𝙈𝙞𝙣𝙚𝙧𝙖𝙡 𝙎𝙖𝙣𝙙𝙨) katika...