REA YAHIMIZA WANANCHI SIMIYU KUJIUNGA NA HUDUMA YA UMEME NA KUTUMIA NISHATI SAFI YA...
📌Kifaa cha Umeme Tayari (UMETA) kurahisisha upatikanaji wa umeme
📌Wananchi wahamasikia kutumia Nishati safi ya kupikia
📌Maswa, Simiyu
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea na kampeni ya...
STAMICO YACHUKUA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NIÑO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeanza kuchukua tahadhari kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño,...
TRC NA JKCI KUTOA HUDUMA YA VIPIMO VYA MOYO BURE KWA WASAFIRI WA SGR
Na Magrethy Katengu--Dar es Salaam
Katika kuelekea Siku ya Maadhimisho ya Moyo Duniani, ambayo hufanyika kila mwaka Septemba 29, Shirika la Reli Tanzania (TRC), kwa...
TMDA YAWANOA WATAALAM WA AFYA KIBAHA KUHUSU DAWA TIBA ZENYE ASILI YA KULEVYA
Na Mwandishi Wetu, Kibaha.
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za...
NAIBU WAZIRI LONDO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUTUMIA MASOKO YA EAC NA SADC KUUZA...
📌Ashiriki hafla ya utoaji wa tuzo kwa jukwaa la 4 la Watendaji wakuu na wakurugenzi kwa mwaka 2026
📌Asema Wizara ya viwanda ina jukumu la...
SERIKALI YAITAKA SEKTA BINAFSI KUTUMIA FURSA YA MTAJI KUCHOCHEA UCHUMI
Serikali imewataka wafanyabiashara, wawekezaji na taasisi za fedha nchini kutumia fursa zilizopo katika uchumi wa Tanzania kuwekeza mitaji katika sekta za uzalishaji, miundombinu, teknolojia...
LATRA, OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WAIMARISHA USHIRIKIANO WA KISHERIA KATIKA SEKTA YA...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wamekutana na kufanya Mafunzo ya siku mbili yanayolenga kubadilishana uzoefu na...
MOI YAANZA KUTUMIA MBINU MPYA KUTIBU KIHARUSI
Mkurugenzi wa Upasuaji wa Ubongo MOI Dkt. Lemeri Mchome amesema leo Septemba 17, 2026 kuwa technolojia hiyo ni ya kwanza kutumika nchini na kwamba...
NEMC YATAKA UBUNIFU WA MAZINGIRA KUGEUZWA KUWA FURSA
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa wito wa kujenga mifumo itakayowezesha ubunifu na fursa za mazingira kugeuzwa kuwa miradi...
WANANCHI MKOANI SIMIYU WAPATIWA ELIMU YA UMEME NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeongeza kasi katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama ya umeme na umuhimu wa matumizi ya nishati...













