TCU YAFUNGUA AWAMU YA TATU YA UDAHILI WA VYUO
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa,akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 3,2026 jijini Dodoma kuhusu kuongeza muda...
DIT YAHITIMISHA AWAMU YA PILI YA MAFUNZO YA KIDIGITALI, VIJANA 32 WANG’ARA
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imehitimisha awamu ya pili ya mafunzo ya mradi wa majaribio unaolenga kuwawezesha vijana kutumia...
SERIKALI INATHAMINI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI KUINUA BIASHARA ZAO
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Judith Kapinga(Mb), Leo amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa...
BARAZA LA UWEZESHAJI KIUCHUMI LIWAFIKIE WANANCHI – PROF KABUDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu Prof. Palamagamba Kabudi amelitaka Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC)...
UTURUKI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA -LONDO
📌Afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Viwanda na Teknolojia wa Uturuki;
📌Ashiriki tamasha la 15 la Anga na Teknolojia nchini Uturuki
📌Tanzania yapewa kipaumbele kushirikiana na...
WIZARA, WANAHABARI KUJENGA USHIRIKIANO KUIMARISHA TAARIFA ZA MAKAZI
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga,akizungumza leo Oktoba mosi, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua Jukwaa la...









