WAHITIMU WA MZUMBE MBEYA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA JAMII
Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, wametakiwa kutumia elimu na ujuzi walioupata chuoni kuleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kuzingatia utu, uadilifu...




