KIVULI CHA JANA SEHEMU YA 1 — MAPENZI YA KWANZA
Wakati mwingine, mtu anayekufanya utabasamu ndiye anayeshikilia siri inayoweza kukuvunja moyo.
Jioni moja yenye upepo mwanana jijini Dar es Salaam, Amina alikuwa amekaa kwenye mgahawa...
JOSHUA: MTUMBA KUIMARISHA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI
Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Nsubili Joshua, amesema kuwa Mji wa Serikali Mtumba, ni moja...
RAIS DKT. MWINYI: ZANZIBAR NA JEJU KUSHIRIKIANA KUFUNGUA FURSA ZA UCHUMI, AJIRA NA UWEKEZAJI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amependekeza kuanzishwa kwa ushirikiano wa kindugu kati ya Zanzibar na...
SERIKALI YAWEKEZA MIFUMO YA KISASA MTUMBA
Na Deborah Lemmubi – Mzawa Media, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya...
TANESCO YAKEMEA UHUJUMU NA WIZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitishwa na vitendo vinavyoendelea vya uhujumu wa miundombinu ya umeme katika mikoa ya Iringa na Njombe, vinavyohusisha uchomaji wa...
SERIKALI KUPITIA GHARAMA ZA UENDESHAJI NA MIKATABA YA UMMA
Na. Asia Singano, WF -Dodoma
Serikali imependekeza kuendelea kutumia Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Muda wa Kati wa mwaka 2026/27...
TANZANIA KUNUFAIKA NA TAFITI NA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano...
WAZIRI WA FEDHA AITAKA TRA KUONGEZA MAKUSANYO ZANZIBAR
Na. Benny Mwaipaja, Zanzibar
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kuboresha mikakati ya ukusanyaji wa...















