RAIS SAMIA NA RAIS WA ANGOLA WAZINDUA BARABARA ZA KM 59.1 MTUMBA DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, leo...
MTOTO WA KIKE ASIPOTEZE NDOTO ZAKE KWA SABABU YA CHANGAMOTO ZA HEDHI
Jamii na wadau mbalimbali wametakiwa kushirikiana katika kuhakikisha mtoto wa kike anapata mahitaji muhimu ya kujisitiri wakati wa hedhi, ili kuepusha changamoto zinazoweza kumfanya...
TUANGALIE MUSTAKABALI WA VIJANA WETU – WAZIRI MKUU
▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana
▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili katika mikutano ya jukwaa hilo
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka...
RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MAKAMPUNI YA KOREA KUSINI KUJADILI UWEKEZAJI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo, tarehe 30 Oktoba 2026, amekutana na viongozi wa taasisi...









