SHERIA YA NHIF KUPANUA WIGO WA WANACHAMA NA KUBORESHA HUDUMA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) uko kwenye mchakato wa kufanya marekebisho ya Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,...
MKURANGA WATAKIWA KULINDA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amewataka wananchi wa Mkuranga kuhakikisha wanalinda miundombinu ya gesi asilia iliyojengwa katika maeneo yao ili iweze...
TBS YATEKETEZA TANI 3.4 ZA UNGA ULIOKUWA CHINI YA KIWANGO TABORA NA KIGOMA
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Magharibi limeteketeza tani 3.4 za unga wa mahindi uliokuwa chini ya kiwango, wenye thamani ya...
WANANCHI WAFURAHISHWA NA ELIMU YA PBPA KATIKA MAONESHO YA UTAMADUNI
Na Mwandishi Wetu, MOROGOROWANANCHI waliotembelea banda la Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) katika Maonesho ya Utamaduni, wameeleza kufurahishwa na elimu wanayoipata kuhusu...
NDEJEMBI AAHIDI UADILIFU NA UCHAPAJI KAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
BODI YA REB YARIDHISHWA NA USAMBAZAJI UMEME KISIWANI JIBONDO
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeeleza kuridhishwa kwake na kasi ya usambazaji wa nishati ya umeme katika vitongoji vya Kisiwa cha Jibondo, kilichopo katika...
MFUMO WA PBPA WAWEKA UHAKIKA WA MAFUTA NCHINI
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umeeleza kuwa Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja umeendelea kuhakikisha Tanzania inapata bidhaa za...
TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI ( PDPC ) YAANZA UKAGUZI KWA WAKUSANYAJI NA...
Na Mwandishi Wetu.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza zoezi la ukaguzi wa uzingatiaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya...
SERIKALI YAZINDUA ‘UGHAIBUNI LOAN’
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (wa tatu kutoka kushoto) akizindua rasmi Ughaibuni Loan wakati...
USHIRIKIANO WA NHIF NA ZHSF WAVUTIA KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Kamati ya Bajeti ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kazi...












