GCLA ENDELEENI KUWAJENGEA UWEZO WADAU WA TIBA ASILI
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Elizabeth Myema (kushoto), akipata maelezo kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kutoka...
TFS YATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA MISITU
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetoa elimu kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu katika eneo la...
TADB NA ZEEA KUSHRIKIANA KUIMARISHA UWEKEZAJI NA UFADHILI WA KILIMO ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kwa lengo...
VETA: UJUZI MSINGI WA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA. Anthony Kasore, amesema ujuzi ndio msingi wa utekelezaji wa Dira ya...
NM-AIST YAWASILISHA ZAIDI YA BUNIFU 20 WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi na washiriki wa Wiki ya Kitaifa ya Elimu,...
NM-AIST KUTEKELEZA DIRA 2050 KUPITIA UTAFITI, UBUNIFU NA UJASIRIAMALI
Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Omari Issa atunuku shahada za umahiri na uzamivu kwa wahitimi 138...
TFS YATUMIA JOGGING KAMA SEHEMU YA KUJIIMARISHA KIAFYA
WAFANYAKAZI wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki wamefanya mazoezi ya kukimbia umbali wa takribani kilomita saba katika eneo la...
KAMATI YA BUNGE YAISHAURI SERIKALI KUONGEZA RUZUKU KWA TBA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiomba Serikali kuongeza ruzuku kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ili kuwezesha kuongeza kasi ya ujenzi wa...
WAZIRI KAIRUKI AITAKA TTCL KUBADILI HOME PASS KUWA WATEJA HAI
Na Mwandishi Wetu - DAR ES SALAAMWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ameitaka TTCL kubadilisha mtazamo wa kupima...
BALOZI SALUM AZITAKA FCC, TBS NA WMA KUPAMBANA NA BIDHAA BANDIA NA DUNI.
Mameneja wa Kanda na Mikoa wa Taasisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA)...













