Thursday, September 17, 2026
Home 2026 August

Monthly Archives: August 2026

TRA KARIAKOO NA MABALOZI JENGO WAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KUTOA ELIMU YA KODI KWA WALIPAKODI

0
Kariakoo, 20 Agosti, 2026 β€Ž Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Kariakoo imeimarisha ushirikiano na uongozi wa Mabalozi Jengo kwa lengo la kuwafikia...

AIRTEL AFRICA YAANDIKA HISTORIA KWA KUZINDUA INTANETI YA SATELAITI KWA SIMU DRC

0
Kinshasa, 17 Agosti 2026: Airtel Africa imeandika historia baada ya kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano barani Afrika kuzindua kibiashara intaneti ya satelaiti kwa...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA WRRB, YATAKA WRS KUTUMIKA KWENYE PARACHICHI

0
Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji...

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI WA TBS

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti...

WAZIRI KIKWETE AMJULIA HALI MAMA KARUME, APELEKA SALAMU ZA RAIS SAMIA

0
WaziriΒ  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. RidhiwaniΒ  Kikwete, akizungumzaΒ  na Mama Fatuma Karume mara baada...

FCC YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA BIASHARA NCHINI KULINDA WALAJI

0
Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti wa Bidhaa Bandia wa Tume ya Ushindani (FCC), Bw.Salvatory Chuwa, akiwasilisha mada  wakati wa Mkutano wa   Maafisa Biashara katika Kikao...

MAAFISA BIASHARA WASISITIZWA KUWA WAWEZESHAJI BIASHARA KUELEKEA DIRA 2050.

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa BRELA, Prof. Neema Mori amewasisitiza Maafisa Biashara Nchini kuwa wawezeshaji wa wafanyabiashara badala ya kuwa wadhibiti...

TBS YABANA MATUMIZI YA UMEME KWA KUPITIA VIWANGO VIPYA VYA UFANISI

0
  Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeweka Viwango vya Chini vya Ufanisi wa Nishati (MEPS) kwa vifaa vinavyotumia umeme, hatua inayolenga kupunguza matumizi...

MKINGA YANUFAIKA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
πŸ“ŒMitungi ya gesi ya kilo sita 3,255 kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi 17,500 πŸ“Mkinga, Tanga Serikali imeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa...