Thursday, September 17, 2026
Home 2026 August

Monthly Archives: August 2026

WRRB, MIKOA NA HALMASHAURI KUIMARISHA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

0
Na.Mwandishi Wetu-DODOMA BODI ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema itaendelea kushirikiana kwa karibu na Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri nchini ili kuimarisha utekelezaji...

TBA YASAIN MKATABA NA GALCO LTD KUJENGA MODERN LOGISTIC HUB TEMEKE

0
Na Magrethy Katengu —Dar es Salaam Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umesaini Mkataba wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP) na Kampuni ya...

WAZALISHANI MKAA MBADALA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA,VIWANGO NA AFYA YA WATUMIAJI

0
Na Magrethy Katengua— Dar es Salaam Wazalishaji wa nishati mbadala ya kupikia, hususan mkaa unaotokana na taka ngumu, wametakiwa kuendelea kutumia teknolojia na mbinu za...

TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 39 ZA BIDHAA ZA CHAKULA...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea kuonesha dhamira yake ya kulinda afya za wananchi baada ya...

TBS YABANA BIDHAA HATARISHI, YATAKA MAENEO YA BIASHARA YA CHAKULA NA VIPODOZI KUSAJILIWA

0
Meneja wa Usajili wa Bidhaa na Majengo wa TBS, Bw.Habakuki Kalebo,akiwasilisha mada wakati wa kikao kilichoandaliwa na BRELA cha Maafisa Biashara pamoja na Wakuu...

WMA YATAKA MAAFISA BIASHARA KUWA KIUNGO CHA ULINZI WA WALAJI

0
Na.Alex Sonna-DODODMA Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka Maafisa Biashara nchini kushirikiana kwa karibu na taasisi hiyo katika kuhakikisha wafanyabiashara wanatumia vipimo sahihi, hatua inayolenga...

MAAFISA BIASHARA WATAKIWA KUCHOCHEA UCHUMI WA VIWANDA

0
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo,akizungumza wakati wa Mkutano wa Kati ya Wizara na Wakuu wa Sehemu na Idara za Viwanda,Biashara na...

TAASISI 300 ZASHIRIKI MAONYESHO YA ELIMU, SAYANSI TANGA

0
Na Boniface Gideon, TANGA Taasisi 300 zimeshiriki maonyesho ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2026 yanayofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara mkoani...

TOL GASES YAIOMBA SERIKALI KUNUNUA OKSIJENI KUTOKA SEKTA BINAFSI

0
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imeombwa kuzipa kipaumbele kampuni binafsi zenye uwezo wa kuzalisha oksijeni ya tiba kwa ajili ya matumizi hospitalini, badala ya kuwekeza zaidi...

WANAWAKE BONYOKWA WATAKIWA KUWA MABALOZI WA HUDUMA ZA MAJI

0
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imewakumbusha Jamii juu ya umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji ili kujenga jumuiya...