UTAFITI WABAINI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA SHULE NCHINI
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Utafiti uliofanywa katika wilaya tatu nchini umebaini kuwa mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuathiri miundombinu ya shule, huku maeneo yanayokumbwa...
TAASISI ZAIDI YA 300 KUSHIRIKI WIKI YA ELIMU, UBUNIFU NA UJUZI TANGA
Wananchi wa Mkoa wa Tanga na mikoa jirani wanahamasishwa kushiriki katika Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ubunifu na Ujuzi, itakayofanyika kuanzia tarehe 15 -...
WIKI YA ELIMU TANGA KUWAPA WANANCHI FURSA ZA KUJIFUNZA NA KUBUNI
Wananchi wa Mkoa wa Tanga na mikoa jirani wanahamasishwa kushiriki katika Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ubunifu na Ujuzi, itakayofanyika kuanzia tarehe 15 -...
WIZARA YA MAJI YAWASILISHA MPANGO WA GRIDi YA TAIFA YA MAJI KWA KAMATI YA...
Wizara ya Maji imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango wa ujenzi wa Gridi ya Taifa ya Maji kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
KAPINGA: SERIKALI YASOGEZA HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA WANANCHI
Wananchi mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuendelea kujenga na kuboresha miundombinu ya huduma za afya, hatua iliyowarahisishia upatikanaji wa huduma hizo bila kulazimika kusafiri...
KAFULILA KUONGOZA MHADHARA WA UMMA KUHUSU NAFASI YA UBIA (PPP) KATIKA MAENDELEO YA WATU
ARUSHA
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kinatarajiwa kufanya mhadhara wa umma utakaolenga kujadili mchango wa ubia kati...
NGASONGWA AANZA ZIARA MWANZA, AWEKA MKAKATI KUKOMESHA BIDHAA BANDIA
Na Mwandishi Wetu
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameanza ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa lengo la kuimarisha udhibiti...
TFS YAWAELIMISHA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA MISITU
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wametoa elimu kwa wafanyabiashara na wachongaji wa vinyago katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam kuhusu...
BITEKO: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Asema wajibu wa kila Mtanzania ni kuhakikisha mafanikio yanakuwa endelevu
KIZIMKAZI, ZANZIBAR
Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto...













