Monday, August 3, 2026
Home 2026 August 2

Daily Archives: August 2, 2026

TGNP YAWAPA WANAWAKE WA VIJIJINI FURSA YA KUJIFUNZA NA KUNUFAIKA NANE NANE

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonesho ya 49 ya Kilimo ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela, Nzuguni jijini Dodoma, yamekuwa jukwaa...

MKURUGENZI WAMBUYA ATEMBELEA BANDA LA WRRB NANE NANE

0
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Needpeace Wambuya, amepongeza kasi ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya...

MKURUGENZI WAMBUYA ATEMBELEA BANDA LA WMA NANE NANE

0
Na WMA - DODOMA. Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Needpeace Wambuya leo Agosti 2, 2026 ametembelea banda la...

DC TABORA, KIGOMA, WAITAKA EWURA KUONGEZA HAMASA NISHATI SAFI, VITUO VYA MAFUTA VIJIJINI

0
Meneja wa EWURA Kanda ya Magahribi, Mha. Karim Ally (kulia) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mh. Upendo Wella (kushoto), Mamlaka inavyoendelea kutoa elimu...

SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA MAENDELEO YA KITAALUMA KWA WALIMU

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM SERIKALI itaendelea kuwekeza katika maendeleo ya kitaaluma ya walimu, wakufunzi na wahadhiri kupitia mafunzo endelevu, tafiti na matumizi ya...

NGUVU KAZI YENYE UJUZI NDIO UFUNGUO WA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA

0
MKUU wa Kampasi ya Dodoma wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Prof. Epaphra Manamba,amesema wanaendelea kuandaa wataalamu wenye ujuzi na uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa...

e-GA YATUMIA MIFUMO YA KIDIJITALI KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KILIMO

0
Meneja wa Mawasiliano wa Mamlaka  ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi. Subira Kaswaga,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 2,2026 kwenye banda la e-GA wakati...

ELIMU YA VIPIMO YAWASAIDIA WAJASIRIAMALI NANE NANE KUBORESHA BIDHAA NA KUPANUA SOKO

0
Na. WMA- DODOMA Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu kwa wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya Nane Nane Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Dkt. John Malecela Nzuguni ...

MZUMBE YATOA USHAURI WA UCHAGUZI WA KOZI KATIKA KAMBI YA UDAHILI MLIMANI CITY

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM CHUO Kikuu Mzumbe kimewahimiza wanafunzi na wazazi kutumia fursa ya kambi maalumu ya udahili inayoendelea katika viwanja vya Mlimani...