WAZIRI SANGU:WAKULIMA NA WAFUGAJI LIWALE DUMISHENI AMANI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na wananchi wa Wilaya ya...
TBA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI KATIKA MAKAZI NA MAJENGO YA BIASHARA
Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma, QS Emmanuel Wambura,akizungumza kwenye banda la TBA katika Maonesho ya 49 ya Kilimo ya...
RUZUKU YA SERIKALI YAPUNGUZA GHARAMA ZA MBOLEA KWA WAKULIMA
Serikali kupitia Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imewahakikishia wakulima nchini upatikanaji wa mbolea ya kutosha kwa msimu wa kilimo wa mwaka huu, ikitangaza kuanza...
PASTEL, VICHEKO NA SERENGETI PREMIUM APPLE: NDANI YA SHEREHE KUBWA YA MARAFIKI DAR ES...
Urafiki wa kweli ulipata nafasi ya kuadhimishwa kwa namna ya kipekee wakati wanawake kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam walipokutana katika...
MFUMO WA SCADA WAIMARISHA UDHIBITI WA MAFUTA NCHINI
Na Mwandishi Wetu, DodomaMfumo wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) yameimarisha udhibiti wa upotevu wa mafuta wakati wa shughuli za ushushaji kutoka melini...
WAKALA WA VIPIMO WAELEZA TIBA YA GESI PUNGUFU
Na.WMA-DODOMA
WANANCHI wametakiwa kuhakikisha wanapima mitungi ya gesi kabla ya kuinunua ili kujiridhisha kuwa wanapata kipimo cha gesi kinacholingana na fedha wanazolipa, huku wafanyabiashara wote...









