EWURA YAWAASA WANANCHI KUCHAGUA WATOA HUDUMA WENYE LESENI
Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Nanenane Nyamhongoro Jijini Mwanza ikiwa imesalia siku moja maonesho hayo...
NM-AIST KINARA WA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI 2026
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeibuka kinara miongoni mwa Taasisi za Elimu katika Maonesho ya 33 ya Kilimo,...
RC MAKALLA AIPONGEZA NM-AIST KWA UBUNIFU NA TAFITI ZINAZOCHOCHEA MAPINDUZI KATIKA KILIMO NA MIFUGO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Makalla, ameipongeza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) kwa tafiti na...
BARAZA LA USHINDANI LAJA NA MFUMO WA KIDIJITALI KURAHISISHA RUFAA ZA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Baraza la Ushindani (FCT limeendelea kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa kutumia teknolojia za kidijitali, likiwataka wananchi na wadau kutumia mfumo...
NANE NANE 2026: WAJASIRIAMALI WAFURAHIA ELIMU YA TBS KANDA YA KATI, WASEMA IMEWAPA MWANGA...
Na Mwandishi Wetu.
LINDI — Wajasiriamali na wananchi wanaoshiriki Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kusini wamepata fursa ya kupata elimu muhimu kuhusu ubora wa...
ORIJIN YAWAUNGANISHA MARAFIKI KWENYE GUMZO LA LADHA
Katika sehemu nyingi za burudani, mazungumzo ya marafiki siku hizi hayaishii kwenye muziki au mpira pekee. Mara kwa mara kuna anayemuuliza mwenzake kama tayari...
MAKUBALIANO YA AFYA TANZANIA, MAREKANI YABADILI DIPLOMASIA YA AFYA AFRIKA
TANZANIA:
Ushirikiano mpya wa afya kati ya Tanzania na Marekani umevuka mipaka ya makubaliano ya kawaida ya misaada, na sasa unaonekana kuwa jaribio muhimu la...
NANE NANE 2026: TBS YATIA MKAZO UBORA WA BIDHAA KUSHINDANA SOKO LA AFRIKA
Na Adery Masta .
Katika kipindi ambacho Maonesho ya Nane Nane 2026 yanaendelea nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa nchini...











