KAPINGA: SERIKALI YASOGEZA HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA WANANCHI
Wananchi mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuendelea kujenga na kuboresha miundombinu ya huduma za afya, hatua iliyowarahisishia upatikanaji wa huduma hizo bila kulazimika kusafiri...




