Saturday, October 17, 2026
Home 2026 September

Monthly Archives: September 2026

RC MALIMA ATOA MKAKATI WA KUINUA UCHUMI WA LINDI

0
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Adam Malima amewataka viongozi, watendaji wa Serikali na wananchi wa Mkoa wa huo kukaa pamoja, kuweka mikakati na kufanya...

NAIBU WAZIRI AVUTIWA NA USAJILI WANACHAMA KIDIGITALI, AITAKA NHIF KUONGEZA KASI YA BIMA YA...

0
‎‎‎NAIBU Waziri wa Afya, Mhe Dkt. Florence George Samizi (Mb), amelipongeza Baraza la Wafanyakazi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa...

PROF.MKENDA: VYUO VISIDAHILI WANAFUNZI KUPITA UWEZO WAKE

0
Na Alex Sonna – Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuhakikisha inaweka mfumo bora...

WAZIRI KAPINGA NA VIONGOZI WA WILAYA YA MBINGA, WAKUTANA NA WAZIRI WA MADINI MHE....

0
Mbunge wa Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Salvio Kapinga, akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Kisare Makori,...

WAKULIMA BABATI WANUFAIKA NA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI (AFDP)

0
Na; Mwandishi wetu – Babati Wakulima wa vijiji vya Endakiso na Orng'adida vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wameeleza kunufaika na Programu...

TANZANIA, MAREKANI KUIUNGANISHA AFRIKA KWENYE SEKTA YA AFYA

0
Na John Mapepele – WAF Washington, D.C. Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani (U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C na Serikali...

VETA YAUNGANISHA UJUZI NA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imewaalika waajiri na wamiliki wa viwanda nchini kuendelea kushirikiana na mamlaka hiyo...

MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI ATOA MAELEKEZO KUHUSU BEI YA SARUJI

0
Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ametoa maeekezo kwa Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji...

NEMC YASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KABLA YA MVUA

0
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewataka Watanzania kuchukua tahadhari na kuimarisha utunzaji wa mazingira kuelekea mvua za El Niño,...

JUBILEE LIFE INSURANCE YAZINDUA BIDHAA TATU MPYA ZA BIMA YA MAISHA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Jubilee Life Insurance Tanzania imezindua bidhaa tatu mpya za bima ya maisha zinazolenga kuwasaidia Watanzania katika uwekaji...