Saturday, October 17, 2026
Home 2026 September

Monthly Archives: September 2026

TBS YAWAHIMIZA WAHANDISI NA WAKANDARASI KUTUMIA HUDUMA YA UPIMAJI WA HIARI KUHAKIKISHA UBORA WA...

0
Na mwandishi wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewahimiza wahandisi, wakandarasi na watumiaji wa bidhaa na malighafi za ujenzi kutumia huduma ya Upimaji wa Hiari...

VIJANA WAFUNGUKA BAADA YA MAFUNZO DIT, WAIPONGEZA SERIKALI KWA FURSA YA UJUZI WA KIDIGITALI.

0
Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imehitimisha mafunzo ya mradi wa majaribio wa kuwawezesha vijana kutumia teknolojia ya kidigitali katika kujitangaza,...

MKENDA ASHIRIKI MKUTANO WA GPE WA KUCHANGISHA RASILIMALI KWA AJILI YA ELIMU

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameshiriki mkutano wa GPE Multiplier Possibility wenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuimarisha...

REA YATUNUKIWA CHETI CHA MLIPAKODI BORA KWA TAASISI ZA UMMA

0
📌 Yatambuliwa kwa kuzingatia Sheria na Taratibu za ulipaji kodi 📌 Utambuzi waakisi uwajibikaji wa REA katika utekelezaji wa miradi ya nishati 📍 Dodoma Wakala wa Nishati...

WHI YAENDELEA KUTOA ELIMU YA FURSA ZA UWEKEZAJI ARUSHA

0
Watumishi Housing Investments (WHI) inaendelea kuwafikia na kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea banda lake lililopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC),...

HAKIKISHENI MNATUMIA BIDHAA ZINAZOZALISHWA KWA UTOSHELEVU NA VIWANDA VYA NDANI ILI KULINDA SOKO

0
📌 Azitaka taasisi za sekta binafsi na mashirikisho ya wafanyabiashara kukumbushana misingi ya uendelevu wa viwanda; 📌 Awataka wafanyabiashara wazawa kuamini bidhaa zinazozalishwa na wazawa...

UNGA 2026: MHE.NDEJEMBI AANIKA MAFANIKIO YA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA AFYA.

0
Na John Mapepele, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama...

WHI YAONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UMILIKI WA NYUMBA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Ikulu) anayesimamia Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ametembelea banda la Watumishi Housing Investments (WHI)...

KIHENZILE AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA SEKTA YA UCHUKUZI NA MNYORORO WA UGAVI BARANI...

0
Mgeni rasmi wa Mkutano wa 8 wa Afrika wa Uendeshaji na Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi (ACOSCM 2026) ambaye pia ni Naibu Waziri wa...

TANZANIA YAUZA BIDHAA ZA DOLA MILIONI 22 NCHINI SAUDI ARABIA – LONDO

0
📌 Ni kupitia ushirikiano wa kibiashara baina ya pande hizi mbili; 📌 Naibu Waziri Londo ashiriki maadhimisho ya miaka 96 ya Taifa la Saudi Arabia...