Saturday, June 27, 2026
Home 2022 June

Monthly Archives: June 2022

📍UTEUZI: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

0
Tazama hapa orodha ya Viongozi wateule 👇

RASMI: TANZANIA MWENYEJI TUZO ZA (MAMA) MTV AFRICA MUSIC AWARD 2023

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais na meneja mkuu wa Paramount Africa and...

NAIBU WAZIRI KATAMBI ABAINISHA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA MKUTANO WA WENYE ULEMAVU IKULU

0
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amebainisha utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya...

PROF. SHEMDOE: MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe amewasihi waheshimiwa Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri nchini kuhakikisha...

KATIBU MKUU MAJI AWAFUNDA WATUMISHI

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amewaasa watumishi wote katika Sekta ya Maji kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni ili...

UMMY: WANAWAKE TUMIENI VYAKULA VYENYE MADINI YA FOLIC ILI KUZUIA KUZAA WATOTO WENYE TATIZO...

0
Na WAF, Dar ES Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula...

SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WAAJIRIWA KADA YA UALIMU NA AFYA

0
SERIKALI imetangaza kuajiri watumishi wa afya na walimu 16,676 kati ya nafasi za watumishi 17,412 wakiotakiwa huku nafasi 736 zilizokosa waombaji wenye sifa zikitarajiwa...

RUKWA WAIPONGEZA WIZARA YA MAJI

0
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Joseph Mkirikiti amesema anaridhishwa na jitihada za makusudi zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Maji katika kuwafikishia huduma ya...

DC GONGWE: WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WATHAMINIWE

0
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameitaka jamii kuwathamini watoto wenye mahitaji Maalumu Kwa kuwapatia haki zao za msingi kiwemo Elimu,Afya na kwani...

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AMUAGIZA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amemuagiza Mkandarasi anayejenga mradi wa maji wa Kibaoni katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi kuongeza kasi...