CHONGOLO AWAONYA MAKATIBU UWT KUJIHUSISHA NA MAKUNDI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo ametoa onyo kwa makatibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kujihusisha na makundi ya...
TIGO WALETA MAPINDUZI ULIPIAJI WA PARKING MLIMANI CITY
Dar es Salaam. Tarehe 15 Juni, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali nchini , Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa huduma ya...
BALOZI POLEPOLE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MALAWI
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe. Humphrey H. Polepole amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Nancy Tembo (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje ya...
SHAMRASHAMRA NDEREMO NA VIFIJO ZIFF ZANZIBAR JUNI 18 FILAMU GANI BORA ITAIBUKA KIDEDEA DUNIANI?
Ikiwa imesalia Masaa machache kuelelea katika Tamasha la ZIFF Zanzibari huku Wasanii waigizaji kutoka Nchi mbalimbali wanaotarajiwa kuhudhuria wakitafakari nini kitatokea mwisho wa Tamasha...
DENI LA TAIFA TRILIONI 69.44
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma kwenye hotuba yake akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa...
TIGO WAFUNGUA DUKA LA KISASA WILAYANI MASASI
Dar es Salaam. Juni 10, 2022. Kampuni namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo Tanzania imefungua duka jipya katika mji wa...
DKT. BITEKO KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI.
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Canada imeanza maandalizi ya kushiriki katika Maonesho Makubwa ya Madini yanayohusisha Wazalishaji na Watumiaji...
WAZIRI WA ELIMU AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA CHUO CHA MAJI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) amekipongeza Chuo cha Maji baada ya kupokea maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na...












