SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUIONA TANZANIA INAKUWA LANGO LA UCHUMI WA BARA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuiona Tanzania inakuwa lango la...
WACHIMBAJI WADOGO MGODI WA NDITI WAMWANGUKIA RAIS SAMIA
Na Mwandishi Wetu.
Vikundi hamsini vyenye wachimbaji wadogo zaidi ya 500 ambavyo vinaunda Chama Cha Wachimbaji Wadogo katika Mgodi wa Nditi maarufu kama " NTAKA...
TBS WATANGAZA KUFANYA MAKUBWA KWA WATEJA WAO SABASABA
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewakaribisha wafanyabiashara, wenye viwanda pamoja na wananchi kwa ujumla kutembelea banda lao katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya...
INDIA YAKUSUDIA KUANZISHA TAASISI YA KITEKNOLOJIA NCHINI TANZANIA, KUFUNDISHA UHANDISI NA TEKNOLOJIA YA HABARI
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini...
DKT.BITEKO ATOA SIKU SABA KWA WACHIMBAJI KULIPA MADENI YA WANANCHI WILAYANI BAHI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko, ametoa wiki moja kwa wachimbaji wa madini ya Chuma wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma kulipa madeni wanayodaiwa na...
WIZARA YA UWEKEZAJI KUANZISHA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA HUDUMA ZA PAMOJA KWA WAWEKEZAJI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongea Wizara ya Uwekezaji na Biashara kwa kuanzisha Mfumo wa...
DKT. KIJAJI AIAGIZA KAMPUNI YA KUUNGANISHA MAGARI KUONGEZA NGUVU NA KASI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameiagiza Kampuni ya GF Trurcks & Equipment kuongeza nguvu na kasi ya kuunganisha...










