Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July 13

Daily Archives: July 13, 2022

NSSF YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA TOZO ZA MAGARI DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI KWA GHARAMA...

0
Na MAGRETHY GILEADY Serikali kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imezindua Mfumo mpya ambao utasaidia kulipia gharama za magari yanayopita daraja la Nyerere lililopo...

WAZIRI AWESO: WATAKWIMU NA WATEHAMA WAWEZESHWE KUKUSANYA TAKWIMU

0
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watendaji katika taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maji kuwawezesha Watakwimu na Watehama katika taasisi wanazoziongoza...

UWARIDI WAMEONGEZA VITU VINGI AMBAVYO VINAVUTIA VIJANA KUSHIRIKI MATAMASHA YAO

0
Wazo la Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda tunalo mwaka wa nne sasa tumelipokea vizuri linalengo la kusaidia waandishi na wasomaji wa riwaya endapo...

SHINDANO LA KUENDESHA PIKIPIKI KUKUSANYA WASHIRIKI NDANI NA NJE YA NCHI

0
Shindano la kuendesha pikipiki ambalo linajulikana kwa jina la EAST AFRICA SAN VILLAGE litafanyika tarehe 17 Kibaha Misugusugu katika uwanja wa shule ya msingi. Hayo...

CHONGOLO AKEMEA WANAOSAKA UDIWANI NA UBUNGE SASA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya wanachama kuanza kujipitisha katika majimbo kutafuta wapambe ili wawasaidia...

TIC YAELEZA SABABU ZA USHIRIKI MAONYESHO YA UWEKEZAJI SABASABA

0
Na; Theresia AllanTaasisi inayohusika kuweka mazingira Bora ya uwekezaji nchini Tanzania (TIC) imetangaza fursa za vipaumbele dhidi ya uwekezaji nchini katika maonyesho ya 46...

MAGEUZI MAKUBWA YA KILIMO NDIO YATAKAYOWAINUA WANANCHI WA KIBAKWE

0
Na mwandishi wetu. Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa...