TAASISI YA MAZINGIRA NCHINI INDIA KUJIFUNZA MFUMO WA TAKA SIFURI MTAA WA BONYOKWA
Na Magreth Mbinga
Taasisi ya mazingira kutoka Nchini India leo Julai 14 wametembelea kituo cha mfumo wa taka sifuri kilichopo Mtaa wa Bonyokwa Wilaya ya...
BILIONI 18 ZA TARURA KULETA SHANGWE KWA WANANCHI MBEYA
Na Raphael Kilapilo
Wananchi Mkoani Mbeya wanatarajia kunufaika na kiasi cha shilingi bilioni 18.2, pesa zilizotengwa kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara na madaraja.
Mhandisi Florian Kabaka,...
AWESO AWAPA KONGOLE WABUNIFU WA MAJI APP
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya mazungumzo na wataalamu wanaojenga mifumo ya kieletroniki ya Wizara ya Maji, ukiwemo mfumo wa Maji App...
WAZIRI NDUMBARO MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU – RITA
Na Magreth Mbinga
Wakala wa Usajili , ufilisi na Udhamini (RITA) wanatarajia kufanya mkutano ambao utakaowashirikisha wadau mbalimbali utakayofanyika Julai 18, mwaka huu jijini Dar...
MAKAMU RAIS DKT. PHILIP MPANGO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA 19
Makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mbalimbali wakati akifunga Maonesho ya 46 ya...
DKT. MPANGO AITAKA WIZARA YA UWEKEZAJI KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameielekeza Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kusimamia uondoaji wa vikwazo vinavyokwamisha...
NAIBU SPIKA ZUNGU ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA MAENDELEO ENDELEVU
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu ameshiriki Kikao cha Kamati ya Maendeleo Endelevu ambayo ni moja...
SIMBACHAWENE ATAKA BARABARA YA KIKUYU MANGAZILA-KILAMBO KUSAJILIWA TARURA
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameagiza Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kuisajili kwa...
TIGO WATOA MILIONI 140 KWA MAWAKALA WAO NCHI NZIMA.
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Tigo Tanzania kupitia kampeni yake ya 'Wakala Push Promotion' imetoa zawadi kwa mawakala zaidi ya elf moja waliopo nchi nzima...













