Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July 19

Daily Archives: July 19, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA AJIRA KWA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU HURIA MWENYE ULEMAVU WA...

0
Na Magreth Mbinga Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa amekipongeza Chuo Kikuu hHuria cha Tanzania kupitia kitengo cha teknolojia kwa...

WAZIRI NDALICHAKO: SERIKALI KUJENGA VITUO VITANO VYA KULEA UJUZI WA VIJANA NCHINI

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kwa mwaka wa fedha 2022/23, serikali...

SERIKALI KUPITIA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) YAPOKEA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHI YA...

0
Serikali kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) yapokea ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchi ya falme za kiarabu ya Oman ambao wamekuja nchini kuangalia maeneo...

CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KIKUBWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

0
Na Magreth Mbinga Mkurugenzi wa shahada za awali Dodoma (UDOM) Dk Victor George Marealle amesema chuo hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kilianza mwaka...

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA ILI KUANGAMIZA MAZALIA YA...

0
Na. Catherine Sungura, Tanga Viongozi wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao...

PROF MKENDA AANZA ZIARA YA SIKU SABA ROMBO, RAIS SAMIA ATOA BIL. 10 MRADI...

0
Na Mathias Canal, Rombo Mbunge wa Jimbo La Rombo ambaye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe 19 Julai...

TCU ONGEZENI UDHIBITI WA UBORA WA VYUO VIKUU

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iongeze jitihada katika udhibiti wa ubora wa vyuo vikuu nchini ili kuhakikisha kuwa...

CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR (SUZA) KINATOA WATAALAMU WENGI ZAIDI HASA KATIKA FANI YA KISWAHILI

0
Na Magreth Mbinga Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimewekeza zaidi katika sekta ya elimu hasa kuwatengeneza vijana kuweza kujiajiri wenyewe wanapo maliza msomo...

RC MTAKA ATOA NENO UJIO WA NBC DODOMA MARATHON 2022

0
Dodoma, Jumatatu, Julai 18, 2022. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwa makala ya tatu ya mbio za NBC Dodoma Marathon zinazotarajiwa kufanyika...

MAKAMU WA RAIS ATAKA MIRADI YA MAJI KUKAMILISHWA MKOANI KILIMANJARO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe pamoja...