Home Kitaifa WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT...

WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT BARNABA MARIEL

Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) Leo tarehe 20 Julai 2022 amempokea Waziri wa Mambo ya Rais wa Sudani Kusini Mhe Dkt Barnaba Marial Benjamin katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Dkt Barnaba amewasili nchini kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Sudani Kusini Mhe Salva Kiir kwenye Mkutano wa 22 wa Wakuu wa nchi na serikali wa jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika kuanzia tarehe 21-22 Julai 2022 katika ukumbi Ukumbi wa kimataifa wa mikutano-AICC Jijini Arusha.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!