OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA NA VIJANA 1,741 KUWAPA VIFAA MTAJI
Ofisi ya Waziri Mkuu-kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeanza kugawa vifaa Mtaji kwa vikundi vya vijana 175 vyenye jumla wa vijana 1,741 watakaopatiwa...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO SEKTA YA KILIMO
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo kuhakikisha inatatua changamoto zinazokabili sekta hiyo ili kuwawezesha wakulima kufanya kilimo kinachoendana na teknolojia kitakachosaidia kukuza...
ZIARA YA RAIS SAMIA YAWALETA WAWEKEZAJI KUTOKA OMAN MKOANI NJOMBE
Serikali nchini Tanzania imepokea wawekezaji kutoka nchi za falme za kiarabu wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha mazao mbali mbaliikiwemo kilimo cha Parachichi...
DKT. ASHATU KIJAJI ATETA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA, UPANUZI WA...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo Juni 30,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje...
HABARI KUBWA ZA MAGAZETI LEO TAREHE 01,07,2022
Karibu kutazama kile kilichoandikwa katika Magazeti ya leo








