Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

INDIA YAKUSUDIA KUANZISHA TAASISI YA KITEKNOLOJIA NCHINI TANZANIA, KUFUNDISHA UHANDISI NA TEKNOLOJIA YA HABARI

0
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini...

DKT.BITEKO ATOA SIKU SABA KWA WACHIMBAJI KULIPA MADENI YA WANANCHI WILAYANI BAHI

0
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko, ametoa wiki moja kwa wachimbaji wa madini ya Chuma wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma kulipa madeni wanayodaiwa na...

WIZARA YA UWEKEZAJI KUANZISHA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA HUDUMA ZA PAMOJA KWA WAWEKEZAJI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongea  Wizara ya Uwekezaji na Biashara kwa kuanzisha Mfumo wa...

DKT. KIJAJI AIAGIZA KAMPUNI YA KUUNGANISHA MAGARI KUONGEZA NGUVU NA KASI

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameiagiza Kampuni ya GF Trurcks & Equipment kuongeza nguvu na kasi ya kuunganisha...

TANZANIA KUSAINI MIKATABA YA USHIRIKIANO KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI AFRIKA KUSINI

0
Na. Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Tanzania na Afrika Kusini zinarajiwa kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika maswala ya elimu msingi siku ya Maadhimisho...

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU -TPA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04, 2022 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi...

SERIKALI YAUNDA TIMU KUISHAURI NAMNA YA KUENDELEZA WAANDISHI WA VITABU NCHINI

0
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Serikali imeeleza inao wajibu kuwaenzi waandishi wake kama ambavyo inapaswa kuwaenzi watu wengine wote wanaoweka jitihada za dhati kwa...

Habari kubwa za Magazeti ya leo Tarehe 04.07.2022

0
Karibu Kutazama kurasa za mbele Magazeti ya leo

WAMKELE MENE AITAKA AFRIKA KUONDOKA VIKWAZO VYA KIBIASHARA; VIJANA, WAJASIRIAMALI WAPEWE KIPAUMBELE

0
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) Mhe. Wamkele Mene ametoa rai kwa Afrika kuungana na kuondoa vikwazo vya...

SERIKALI YATENGA BILIONI 8 KUSOMESHA WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA UBINGWA NA UBINGWA BOBEZI

0
Na. Catherine Sungura, WAF-Dar es Salaama Serikali kupitia Wizara ya afya imetenga billion 8 kusomesha watalaamu wa afya, ndani na nje ya nchi, katika fani...