SHAKA HAMDU SHAKA ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na...
MHE. WAMKELE MENE KUFUNGUA MAONESHO YA 46 YA KIMATAIFA YA BIASHARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesemaKatibu Mtendaji wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCFTA), Mheshimiwa Wamkele Mene anatarajiwa...
MGODI WA MAKAA YA MAWE KIWIRA-KABULO MBIONI KUANZA UZALISHAJI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema Serikali iko katika hatua za mwisho kuanza uzalishaji katika Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira- Kabulo...
WAZIRI MKENDA AGEUKA MBOGO UCHAGUZI WA SKAUTI
Mlezi wa SKAUTI ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ana matumaini na matarajio makubwa kwa Chama...
VIJANA WATAKIWA KUJITOKEZA TAMASHA LA UTAMADUNI
Na Fatma Ally, Dar es Salaam
Waziri wa Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mohamed Mchengerwa amewataka vijana wenye vipaji kujitokeza kuonyesha vipaji vyao kwani Serikali imetenga fungu la...
HABARI KUBWA ZA MAGAZETI LEO TAREHE 02,07,2022
Karibu kutazama kile kilichoandikwa katika Magazeti ya leo
MKALIPA AWATAKA WANAFUNZI KIMANI SEKONDARI KUWA WAZALENDO KWA TAIFA
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Kisarawe ndugu Nasri Mkalipa amewataka wanafunzi Kimani Sekondari kuwa wazalendo pamoja na kutunza tunu ya amani na utulivu ili...
BMH WAJITENGENEZEA KITABU CHA MWONGOZO WA DAWA
Na.WAF, Dodoma
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amezindua kitabu cha Mwongozo wa wa utoaji Dawa (Benjamin Mkapa Hospital Formulary) utakaotumiwa na waandika Dawa (Prescribes),...
RC MAKALLA: MAONYESHO YA 46 YA SABASABA 2022 YAMEFANA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema Sera nzuri na mwelekeo Bora alioonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kuitangaza Nchi kimataifa...
DKT. BITEKO AFAFANUA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAENEO YA HIFADHI
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa maeneo yaliyopo kwenye hifadhi bado yanatafutiwa ufumbuzi ili wachimbaji wa madini waweze kuchimba na kunufaika na...













