Home Kitaifa RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU -TPA

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU -TPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04, 2022 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Ndg. Eric Hamis na kumteua Ndg. Plasduce Mkeli Mbossa kuchukua nafasi hiyo.

4 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here