Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

KINANA: SEKTA BINAFSI INAANZA NA WANANCHI WA KAWAIDA

0
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amewataka viongozi na watendaji wa serikali kuhakikisha wanarahisisha ufanyaji wa shughuli za wananchi kwa...

MAJALIWA: TUNATHAMINI MCHANGO UNAOTOLEWA NA WAHANDISI WANAWAKE  

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wahandisi wanawake...

Waziri Ummy; Mpaka Sasa Hakuna Mgonjwa wa Homa ya Mgunda

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa wa homa ya Mgunda (LEPTOS) aliyelazwa katika kituo chochote cha afya,...

SHAKA AMUMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA

0
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana...

WATANZANIA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA AGOSTI 23

0
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti Taifa wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Paul Kimiti ametoa rai kwa watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la sensa...

SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA WANAWAKE SEKTA YA UVUVI.

0
Na Mwandishi wetu- Kigoma Serikali imesema wanawake wamekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia rasilimali za uvuvi pamoja na kuhakikisha biashara ya mazao ya uvuvi inaimarika...

TDFAA MKOA WA DAR ES SALAAM KUFANYA UTALII KILWA KISIWANI NA SONGO MNARA

0
Na Magreth Mbinga Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) Mkoa wa Dar es Salaam Julai 30 wanatarajia kufanya utalii wa ndani katika Wilaya ya Kilwa Mkoani...

TANZANIA YAJIVUNIA UENYEKITI NCHI WAZALISHAJI WA ALMASI AFRIKA

0
Asteria Muhozya, Tito Mselem na Steven Nyamiti, Arusha Uenyekiti wa Tanzania kwa Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (African Diamond Producers Association-ADPA) umeonesha kuzaa matunda baada ya...

TUTAISHANGAZA DUNIA – TIMU YA JUMUIYA YA MADOLA.

0
Na John Mapepele, Birmingham - Uingereza Kocha Mkuu Timothy Kingu wa kikosi cha ndondi kinachoiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola ambayo yanaanza rasmi...

WAZIRI MCHENGERWA AITEMBELEA TIMU YA JUMUIYA YA MADOLA, AIFUNDA.

0
Na John Mapepele, Birmingham Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa ameitembelea timu ya wachezaji wa Tanzania inayoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola...