Home Kitaifa UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umetunukiwa tuzo katika maonesho ya Kumi na Tano ya 15 ya Sanaa (15th International Arts and Crafts Expo) yaliyofanyika Agoosti 18-20, 2022 Jijini Abuja. Katika maonyesho hayo Tanzania imeshinda tuzo ya Best Exhibitor in E. Marketing.

Aidha, maonyesho hayo yalihusu Utalii, Uwekezaji na Bidhaa mbalimbali.

Previous articleMCHUNGAJI MWAMPOSA ‘BULLDOZER’ AWEKA WAZI KUHUSU SENSA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUHESABIWA
Next articleLUSHOTO YAPATA KITUO KIPYA CHA POLISI BAADA YA MIAKA 193.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here