Mbunge wa viti maalumu Janejelly Ntante anayewakilisha wafanyakazi amewataka watumishi wote nchini wakahesabiwe ili kutoa takwimu ambazo ni sahihi zitakazoisaidia serikali kuleta maendeleo, ameyasema hayo kwenye zoezi la utoaji elimu ya sensa ya watu na makazi katika viwanja vya Kilungule Temeke.