MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2022 ZACHAGIZA FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA...
Na: Mwandishi Wetu – DODOMA
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 zimesaidia kwa kiasi kikubwa kufanikisha kukusanya shilingi Milioni 847.6 na kuzirejesha serikalini ikiwa ni...
WAZIRI MKENDA AZINDUA TIMU KUFANYA UTAFITI WA UFUATILIAJI WA WAHITIMU WA MAFUNZO YA UFUNDI...
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma
Serikali imetangaza timu ya watu watano kwa ajili ya kufanya Utafiti wa ufuatiliaji wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi kutoka vyuo...
TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA – BASHUNGWA
OR- TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema TAMISEMI ni mdau mkubwa wa takwimu...
SERIKALI INACHUKUA HATUA KUKABILI UPANDAJI WA BEI ZA BIDHAA MUHIMU
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji aeleza hatua zinazochukuliwa na Serikali ili kuwapunguzia Wananchi athari zitokanazo na kupanda kwa bei ya...
SHAKA AWASILI ZIARANI MKOA WA TABORA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe...
KATIBU MKUU DKT JINGU: ZINGATIENI UZALENDO ILI TUPATE TAKWIMU SAHIHI
NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu amewaasa makarani wa Sensa ya Watu...
MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA (EHMS) WAIONGEZEA UFANISI HOSPITALI YA AMANA.
Katika kuongeza ubora wa ufanisi wa utendaji kazi na udhibiti mapato hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam -AMANA imefunga mfumo maalum...
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao:-
WILLIAM RUTO ASHINDA URAIS KENYA
Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), Wafula Chebukati amemtangaza Rais mteule wa Tano, William Ruto wa Chama cha UDA...
WAZIRI MKUU: TAKWIMU ZA SENSA NI MUHIMU KWA WAFANYABIASHARA, SERIKALI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema takwimu za Sensa ya Watu na Makazi zitawasaidia wafanyabiashara kutathmini uwezo wao wa kibiashara au uwezo wa mitaji kutoa...













