Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), Wafula Chebukati amemtangaza Rais mteule wa Tano, William Ruto wa Chama cha UDA aliyechaguliwa kwa jumla ya kura zaidi milioni ya milioni saba (7) sawa na asilimia 50.49, akimzidi mpinzani wake Raila Odinga wa Chama cha Azimio aliyepata kura Zaidi ya milioni sita (6) sawa na asilimia 48.85 ya kura zote.