Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

TIGO NA INFINIX WAJA NA KUBWA KULIKO , KUTOA ZAWADI KIBAO

0
• Wateja Kupata hadi GB 96 bila malipo kwa mwaka mzima baada ya kununua. Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam tarehe 11 Agosti 2022, Kampuni inayoongoza...

LG Garnet Star WATANGAZA PUNGUZO LA ASILIMIA 33 KWA BIDHAA ZAO

0
 MENEJA wa Bidhaa wa LG Afrika Mashariki Eden Seo (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa LG Afrika Mashariki, Sa Nyoung Kim na Mkurugenzi Mkuu...

FCC; MAWAKALA FORODHA DHIBITINI BIDHAA BANDIA

0
Tume ya Ushindani ya bidhaa(FCC) imewataka watendaji wa wakala wa forodha(TAFFA) kuhakikisha wanashirikiana Kwa pamoja kudhibiti bidhaa bandia kwani zimekuwa zikileta madhara Kwa watumiaji. Agizo...

RAIS SAMIA, KIONGOZI WA “FIELD” ANAENDELEA KUWEKA REKODI YA DHAHABU

0
Na Mwl Udadis, Njombe Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara...

WIZARA ZAHIMIZWA UFUATILIAJI WA TAARIFA ZA MPANGO KAZI

0
Na Mwandishi wetu Viongozi wa Wizara wapewa rai kufuatilia na kusimamia kwa karibu maafisa viungo ambao wanahusika kuweka taarifa kwenye mfumo ili Viongozi wawe na...

JAFO AZINDUA KAMPENI YA STAMICO NA MAZINGIRA At 50

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo ameongoza matembezi ya hisani pamoja na Uzinduzi wa Kampeni ya...

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMETEMBELEA KIWANDA CHA...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo tarehe 10 Agosti, 2022 ametembelea kiwanda Cha Tanganyika Wattle Company Limited (TANWAT)...

RAIS SAMIA AAGIZA KUJENGWA SEHEMU YA MALEZI YA WATOTO SOKO KUU NJOMBE

0
NA OR-TAMISEMI RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ameagiza sehemu ya malezi ya watoto kujengwa katika Soko Kuu la Njombe Mji...

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKUTANA NA WAJUMBE KUTOKA ZANZIBAR.

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara ya Maji itaendelea kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya...

VIWANJA VITANO KUTOTUMIKA MECHI ZA LIGI KUU (NBC PREMIER LEAGUE)

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha viwanja vitano kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu ya NBC kwa kutokidhi vigezo wakati vingine vitatu...