JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJIKA KATIKA KUKUZA SOKA AFRIKA-RAIS SAMIA
MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan amesema Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi zaidi kwa kuongeza jitihada mbalimbali zitakazoendeleza mpira wa miguu.
Kauli hiyo imetolewa na...
KLABU YA YANGA YAUNDA KAMATI MAALUMU YA MASHINDANO
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji wameunda Kamati maalum ya mashindano ya watu 8 ambayo...
MHE.MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 44 WA CAF.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa...
MENEJA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA AONDOLEWA
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo.
Wizara imesema...
RAIS SAMIA KACHANGIA BILIONI 10.7 UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE
Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maendeleo Mkoani...
WACHEZAJI WA YANGA : TUKO TAYARI KUHESABIWA, KWA MAENDELEO YA WANANCHI
Wachezaji wa Klabu ya Yanga, wamewasihi wapenzi wa soka nchini na Watanzania wote kwa ujumla kushiriki zoezi la Sensa litakalofanyika Agosti 23, 2022.
Wakizungumza kwa...
WADAU WA KILIMO WAHIMIZWA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
Na Mwandishi wetu
Serikali imetoa rai kwa wadau wa kilimo kuendelea kutambua Ubunifu na Teknolojia mpya zinazooneshwa katika maonesho ya Nanenane ili kuweza kuzikuza na...
UWT NA APS WAGAWA TAULO ZA KIKE
Na Mwandishi wetu, Mzawa Online
Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Kata ya kunduchi kwa kushirikiana na Kampuni ya APS leo wametoa msaada wa Taulo za...
BAKWATA YATANGAZA RASMI MASHINDANO YA QURANI TUKUFU
Na Magrethy Katengu
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Muhammad wa sita ya Maulamaa wa bara la Afrika wametangaza rasmi...
WANASIMBA WAKO TAYARI KUSHIRIKI SENSA
Furaha na hamasa ya wanasimba leo hii katika kilele cha "Simba Day" ni kuwataka watanzania wote kushiriki katika zoezi la Sensa ya watu na...













