Home Michezo MENEJA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA AONDOLEWA Michezo MENEJA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA AONDOLEWA By Emmanuel PS - August 9, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa majukumu mengine na nafasi hiyo itajazwa mara moja.