Friday, June 26, 2026
Home 2023 May

Monthly Archives: May 2023

TUTAENDELEA KUFANYA MABORESHO YA SERA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho ya Sera ya Mifugo na Uvivu ili iweze kuleta tija kwa Taifa. Amesema hayo leo Jumanne...

SERIKALI NA IFC YAANZA KUPITIA MIRADI YA KIMKAKATI YA PPP

0
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, amesema kuwa Serikali imeifanyia marekebisho sheria ya Ubia...

WAJAWAZITO KUPIMWA VIPIMO VYA AWALI BILA MALIPO

0
Na. Catherine Sungura-Dodoma. Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mto kupimwa wingi wa damu, mkojo...

RAIS SAMIA AMEREJESHA MATUMAINI YA WATANZANIA – NGOs

0
* Wampongeza kwa uongozi wa kimageuzi Mwandishi Wetu MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka...

MAMLAKA YA MAPATO TRA YAZINDUA RASMI KAMPENI YA “TUWAJIBIKE” KUWASAIDIA WANUNUZI WA VIFURUSHI KUPATA...

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekuja na suhisho la risiti halali kwa kampeni inayojulikana kwa jina la “Tuwajibike” itakayosaidia kuwakumbusha na kuwahamasisha...

WANAFUNZI CHUO KIKUU MZUMBE WAJENGEWA UWEZO WA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUTAMBUA VIPAJI VYAO

0
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mada   Afisa Rasilimali watu wa kampuni ya Barrick North Mara, Gema Salamba, akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu...

HUDUMA YA NBC CONNECT YAZINDULIWA MBEYA , KUBORESHA HUDUMA ZA KIBENKI MKOANI HUMO

0
Mkurugenzi wa Kitengo cha wateja Wakubwa wa benki ya NBC Bw. James Meitaron (wa kwanza kulia ) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,...

TARURA MKOA WA MBEYA KAZI INAENDELEA

1
NDANI ya miaka miwili ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kumekuwa na ufanisi kwenye barabara zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini...